Hahahahaaaa....nimecheka kicheko cha furaha....mzima!?
Salama kbsa minji...Nimeamka salama naamin mmeamka salama pia
Hiki kimeo kibaya sana kwa katiba yetu hata kuwe na makosa gani yaani mwenyekiti akitangaza tu basi wewe ni rais
Asante na kwako pia mkuu BAK[emoji5]Amani iwe nanyi asubuhi hii na siku nzima ya leo.
Good morning mzee wa....Good morning TANZANIA