Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Facebook kuzifungia kurasa zote kujitangaza ikiwa zitasambaza habari za uwongo: Hii ina maanisha kurasa hizo zitashindwa kutumia huduma ya kibiashara ya kimatangazo kwenye mtandao huu maarufu.
 
Habari za uwongo zinaharibu imani ya watu walioko kwenye Facebook” Mkurugenzi wa bidhaa wa Facebook Rob Leathern aliyasema hayo. “Hatutaki kurasa zinazosambaza habari za uwongo kuongeza wafuasi na kusambaa zaidi kwenye Facebook” Kwa hiyo tumeamua kufanya hivi ili jamii ifahamu.
 
Mwaka 2007 muanzilishi wa whatsapp Jan Koum aliomba kazi Facebook wakamtosa,miaka miwili mbele yani 2009 akaanzisha whatsapp na miaka mitano mbele yani 2014 akaitwa na Facebook kwa ajili ya mazungumzo ya kuinunua whatsapp ambapo aliuza kwa dola za kimarekani bilioni 19.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leathern aliendelea kusema kuwa “Hatutaki kulibainisha hili; kwani hatutaki watu wacheze na mfumo wetu”

Tangazo hili la hivi karibuni ni moja kati ya jitihada za Facebook za kupambana na tatizo la habari za uwongo lililoibuka miaka ya hivi karibuni. Mnamo mwezi Mei Facebook iliongeza vipengele vinavyowawezesha watumiaji wake kubainisha maudhui wasiyopenda kuyaona pamoja na yale yenye ubora mdogo.
 
Back
Top Bottom