Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika hali ya kustaajabisha mabadiliko hayo ya sheria yamepokelewa vyema na umoja wa walimu wanaofundisha shule za msingi ingawa wachambuzi wa masuala ya elimu wamekosoa mabadiliko hayo na kuuliza kama uwepo wa shule utakuwa na umuhimu.
 
Mafunzo ya mtandaoni yanatoa wigo mpana kwa mwanafunzi kuweza kusoma masomo mbalimbali ambayo kwa namna moja au nyingine asingeweza kuyapata akiwa shuleni. Pia kusoma mtandaoni ni muhimu kwa yule ambaye alikuwa hana uwezo wa kujiunga na shuke/chuo kutokana na kipato kidogo au kuwa mgonjwa.
 
Ukuaji wa teknolojia hasa intaneti duniani kote ndio umewezesha masuala kama haya kuzaliwa kwani mambo masuala ya kusoma online si jambo geni kwa nchi nyingi Afrika lakini kikubwa cha kujiuliza ni walimu katika shule zetu wataendelea kuwa na ajira zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…