myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
14:05
Haswaa... Nina hamu na hashua za pale Sokota.Tusiyasahau yale maisha maana ndio yaliyo tukuza mpaka tumepata wakeUnamaanisha unubini, kwa sokokota, vetenary, torori, mchicha, kasorobo, njaro, maganga nk. Si ndiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuliko kitu chochote kwa kweliafya ni muhimu sana
Zamani ni zilipendwa[emoji3] [emoji3] [emoji3]Zilipendwa