Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuscrub kunaondoa seli zilizokufa kwenye ngozi na kukuletea ngozi mpya kwa juu. Ukishamaliza kuscrub utasikia tu ngozi ya uso imekuwa laini.
- Kuscrub kunaondoa uchafu uliondani zaidi kwenye ngozi. Tunaosha uso kwa maji na sabuni na pengine tuna cleanse lakini kuscrub ni usafi wa ndani zaidi kwa kuwa tunasugua ngozi
 
Kuscrub kunaondoa sugu.... Kama una sugu miguuni au kwenye viwiko vya mkono...we tafuta scrub uapply kila baada ya siku tano uone zitakavyoanza kufifia fasta....ukiwa mvumilivu unatengeneza mwenyewe tu nyumbani scrub kama vile sukari, baking soda na mafuta nazi. una mix kisha unasugu sehemu yenye sugu kama nilivyokwambia. utakuja kuniambia!
 
5ea10e3394a5ea9a63abbbd9f5de3755.jpg
 
Kuscrub kunaondoa sugu.... Kama una sugu miguuni au kwenye viwiko vya mkono...we tafuta scrub uapply kila baada ya siku tano uone zitakavyoanza kufifia fasta....ukiwa mvumilivu unatengeneza mwenyewe tu nyumbani scrub kama vile sukari, baking soda na mafuta nazi. una mix kisha unasugu sehemu yenye sugu kama nilivyokwambia. utakuja kuniambia!
Saluni yenu iko wapi??
 
Back
Top Bottom