Tuhuma gani, Bob mwenyewe alishindwa kukanusha jana.Hata sina ninachokielewa mana jana nilikuja humu hizo tuhuma nikaziona sasa sijajua nia ya huyu dadayako
Saluni yenu iko wapi??
Huyu ndio mama viv mwenyeweKimbembe cha kumsaka Mama Viv kiliishia wapi jamani? Shemeji ulikuwa ukitajwa kuwa eti ndo umeshinda intavyuu. Ni kweli?
NiajeeeeeeYup yup
CARBAMAZEPINEIf our love is tragedy, why are you my remedy?
If our love's insanity, why are you my clarity?
CANTSTOPWONSTOP
Nasubiri aseme mwenyewe. Kwema bageshi?Huyu ndio mama viv mwenyewe
Me na Cole hatuna mtoto aitwaye viv ila kama wamaanisha viv wa andjul ni sawa[emoji2][emoji2]We si ndio mama viv?
Naona lengo lako bob asipate mama viv baada ya wewe kuikosa hiyo nafasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bibi pambana eehTuhuma gani, Bob mwenyewe alishindwa kukanusha jana.
Acha bhana bro?EverythingEverything is possible.
- [emoji442]