Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hebu funguka basi
Hahahaa jaman unapenda ubuyu. Nasubiria interview yako huku chit chat sijui utamkana cole na kufunguka maisha yako halisi daah ule uhuru uliokua nao kabla ya interview utaisha kabisaaaa. Dont try that thing my dear napenda kukufahamu kama anonymous kuliko kiuhalisia.maana inaumiza sana kugundua mambo yanayoendelea katika maisha yako hasa yale magumu unayopitia.
 
Kizuri kula na mwenzio,mwisho wa dunia means mwisho wa maisha yako,tusidanganyane kuna mwisho wa dunia. Ukifa ndo imetoka hio unaenda pambana na adhabu yako mbele ya safari
Mwisho wa dunia upo. Hata tukiachana na watu wa dini, wanasayansi wanasema kwamba baada ya miaka bilioni 3.6 jua letu litaishiwa Hydrogen na Helium; na litatanuka kuwa red giant. Mercury, Venus, Dunia na pengine Mars zitamezwa na kukaangwa nzima nzima. Na huo ndo utakuwa mwisho wa dunia !!!
 
Intavyuuu??nani mimi???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]doooh!haitakaa itokee kama nitabahatika kujuana na watu humu basi iwe kwa malengo ya biashara kwakweli ila si vinginevyo...
!
Ila hili fumbo kama nimepata clue
Hebu subiri kwanza naja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mimi tutajuana tu. Hilo halina mjadala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na Numbisa kweli nikipita Mwanza ndo utakataa kunipikia ugali? Kisa?
 
Huhuhuuu topic kubwa hii,hao wanasayansi nao ni binadamu kama sie, fumbo la kifo tu wameshindwa kulifumbua sembuse kitu kinachoitwa hakuna siku wala saa itakayojulikana ni siku ya mwisho. Wamekimbilia kutabiri miaka bilion na kitu ili wasishushuliwe hizo ni porojo tu story za kutishia watoto.
 
Intavyuu hizi za Muosha Rungu na akina Daby huwa zina lengo gani? Ni watu kuwa famous au nini?
 
Hahaha naona unaenda kula ubuyu,angalia usipaliweee
Yap malengo yenye manufaa na muhimu hapo sawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…