Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yawezekana ila ni ukweli kuwa kwenye hii universe hakuna kitu kinachodumu milele. Labda Mungu (kwa wanaoamini)

Na kuhusu kufifia kwa jua wala siyo utabiri, ni ukweli. Wanajua nuclear fission inavyofanya kazi, wanajua uzito na ujazo wa jua. Haikuwa kazi ngumu sana kwa Einstein kukokotoa muda ambao jua litamaliza nguvu.

Kifo sidhani kama ni fumbo kwa sababu ni matokeo ya kanuni ile ile ya arrow of time ambayo kwa kawaida husonga mbele na kamwe hairudi nyuma. Ni kanuni hii hii ndiyo inafanya kila kitu kiwe na kikomo !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…