Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
T973
VISita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dunia simama nishukeeeeEti swali bikira ulitolewa ukiwa na miaka mingapi na mtu anajibu aiseeee
IV
Yawezekana ila ni ukweli kuwa kwenye hii universe hakuna kitu kinachodumu milele. Labda Mungu (kwa wanaoamini)
Na kuhusu kufifia kwa jua wala siyo utabiri, ni ukweli. Wanajua nuclear fission inavyofanya kazi, wanajua uzito na ujazo wa jua. Haikuwa kazi ngumu sana kwa Einstein kukokotoa muda ambao jua litamaliza nguvu.
Kifo sidhani kama ni fumbo kwa sababu ni matokeo ya kanuni ile ile ya arrow of time ambayo kwa kawaida husonga mbele na kamwe hairudi nyuma. Ni kanuni hii hii ndiyo inafanya kila kitu kiwe na kikomo !!!
LV
Hahahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Heshima kwako leo nimezidi kuthibitisha kama upo vizuri sana katika kujengea hoja jambo lolote lileYawezekana ila ni ukweli kuwa kwenye hii universe hakuna kitu kinachodumu milele. Labda Mungu (kwa wanaoamini)
Na kuhusu kufifia kwa jua wala siyo utabiri, ni ukweli. Wanajua nuclear fission inavyofanya kazi, wanajua uzito na ujazo wa jua. Haikuwa kazi ngumu sana kwa Einstein kukokotoa muda ambao jua litamaliza nguvu.
Kifo sidhani kama ni fumbo kwa sababu ni matokeo ya kanuni ile ile ya arrow of time ambayo kwa kawaida husonga mbele na kamwe hairudi nyuma. Ni kanuni hii hii ndiyo inafanya kila kitu kiwe na kikomo !!!
Nakusalimia mkuu,habari yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani jamani