carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huoni kama nguo ni kubwa ile??[emoji23][emoji23][emoji23]dooh sijui walipewa bureHahaa uchokoz huo hahaa
Huoni kama nguo ni kubwa ile??[emoji23][emoji23][emoji23]dooh sijui walipewa bureHahaa uchokoz huo hahaa
Sema carba....Babe s
Hello babe SHaaaah! 10 hrs ago....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule bibi atanifuta kazi kabla sijaanza rasmi
Mimi sijui ukoje nijuzeNajua mu wazima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe jamaa ukimya wote anapiga msuli wa pepa la kesho[emoji124] [emoji124] [emoji124] Kuna jamaa asubuhi alimtakia mtihani mwema wakusoma wako kesho. Komenti ipo huko nyuma muitafute kwa manufaa yenu...
Over size ilikuwa ni fashion ya wakati wakeUnajua zamani wachezaji walianza kuvaa vijezi vidogo sana,badae wakaanza kuvaa kanzu sasa hivi wamerudi normal,walikua wanatafuta size
Mana ilikua tafrani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe eeh afadhali
CARBAMAZEPINENimekuchagua wewe nikupende
CANTSTOPWONSTOP
[emoji122][emoji122][emoji122]nawatakia kheri
Wakusoma hajambo??oooppsss sorrySema carba....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huoni kama nguo ni kubwa ile??[emoji23][emoji23][emoji23]dooh sijui walipewa bure
Teh teh teh natamani nimuite[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mana ilikua tafrani
Col's world[emoji4][emoji4][emoji4][emoji7][emoji7][emoji7]CARBAMAZEPINE
CANTSTOPWONSTOP
Mana imebidi niokoe hali ya my dota[emoji122][emoji122][emoji122]nawatakia kheri
Hakika viv anabahati[emoji4][emoji4]Mana imebidi niokoe hali ya my dota
Yap
Mimi na mpira ni vitu tofauti si mpenzi wa mpira hata kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe zamani ulikua huangalii mpira au hata picha