babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,859
Hakika...Kila MTU ni mzuri kwa namna yake..
Hakika...Kila MTU ni mzuri kwa namna yake..
Thank you[emoji113]Mi mzima...nafurahi kuwaona tu
Kuko vizuri....sijui huko...Teh teh teh kijijini kukoje
Hilo bus kama hauna ustahimilivu usijaribu kulipanda. Ninauzoefu na usafiri huo kwa miaka nane, acha kabisa. Hapo Bob anaongea siyo yeye kabisa, bado hajapambana na mtoto akikua kidogo na kuanza kuuliza mama yuko wapi? Ukisema yupo kwao anakuuliza kwanini? Ukimwambia tuliachana bado atakuuliza kwanini? Ndipo hekima inapohitajika kuanza kumjenga sasa,kosa dogo tu baba utaonekana ni USELESS hata umleaje.Mtoto anahitaji malezi ya wazazi wote wawili,mana wote wanamchango wao kwenye maisha yake(mtoto)
[emoji106][emoji106]Thank you[emoji113]