Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
huyo jamaa ni muigizaji wa nigeria kama sikosei muvi zake si mchezo,anapenda kuigiza maisha ya kati hasolin flani hiviHii picha inanifurahisha sana yani since the day nimeiona nacheka tuu
Pusha washa[emoji445] [emoji445] [emoji445]