Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hako kapare ka mjini kamekuja na mbwembwe za kutaperi wake za watu, kanakuja kushindwa kwenye finishing.Alipe ng'ombe huko na za ugoni 15[emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji233] [emoji230] [emoji230] [emoji233] [emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji230]
Hahahhaa ada je
 
b292837b23c26187a73985de468c1ea6.jpg
Namuona Indira Ghandi
 
Mkuu tusimchoshe Mungu, alitupa akili tangu enzi ya Nuhu, Lutu,n.k.za kujiokoa, maadam wameshaambiwa kuna hatari miezi mitatu ijayo,waondoke mapema eneo hilo.
Mwenyezi mungu hana sifa ya kuchoka, pia ana uwezo wa kugeuza mabaya kama majanga na kutuletea upepo mzuri wenye kuburudisha. Pia mungu anasema tusichoke kumuomba. Hivyo tutamuomba. Gonga likes tuende sawa
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom