mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahhaa ada jeHako kapare ka mjini kamekuja na mbwembwe za kutaperi wake za watu, kanakuja kushindwa kwenye finishing.Alipe ng'ombe huko na za ugoni 15[emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji233] [emoji230] [emoji230] [emoji233] [emoji233] [emoji230] [emoji243] [emoji230] [emoji233] [emoji243] [emoji233] [emoji230]
HahahahahaDiamond platinum /ali K wasanii watarajiwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namuona Indira Ghandi
Hahahahaha
Mwenyezi mungu hana sifa ya kuchoka, pia ana uwezo wa kugeuza mabaya kama majanga na kutuletea upepo mzuri wenye kuburudisha. Pia mungu anasema tusichoke kumuomba. Hivyo tutamuomba. Gonga likes tuende sawaMkuu tusimchoshe Mungu, alitupa akili tangu enzi ya Nuhu, Lutu,n.k.za kujiokoa, maadam wameshaambiwa kuna hatari miezi mitatu ijayo,waondoke mapema eneo hilo.
AMUN RAmungu tubariki ndani ya nchi yetu
Winnie medikizela mandelawa pili
Hahahahahajaza mwenyewe
AMUN RAAMUN RA
Mwanasheria wa ANC aliharibu ndoa yao