Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23][emoji23][emoji23]dooh!acha nipite hivi leo[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hahahahha ole wako, leo ntakupasua kichwa.
Am gudi kwakweli,naona siku hizi tunapishana tu
UK against USA
Pita kimya tu maana hali ya baba wa taifa leo sio njema.[emoji23][emoji23][emoji23]dooh!acha nipite hivi leo[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kweli kabisa...Nadhani mambo yamekuwa mengi, hizi schedule za kuamka kombora na kulala mpaka lala salama ni hatari! Mambo niaje lakini?
WWE CEO and owner
Habari ya paper.
Kesho tena km kawa siyo?
Kuanzia sasa nakuwa hiviPita kimya tu maana hali ya baba wa taifa leo sio njema.
AMUN RALazima nilinde kilicho changu
Good evening bro
HahahhaaWewe mbona sheria za bungeni huwa unavunja? Tena kwa makusudi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] !!!Yaan ni heri kuishi na mchawi au jambazi kuliko kufanya kazi na mtu mnafiki na anaejipendekeza kwa boss, ni hatari sana.