mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yap
Yap
We mbibi unashida wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahha mie mwenyewe nshakukataa,siwezi kuwa kundi moja na ww.
Lazima nilinde kilicho changuMzee WA liver on the Making safi Sana
CANTSTOPWONSTOP
IndeedWe protect our own
CANTSTOPWONSTOP
Habari ya paper.Aiiii... Hawa yu tudeyi, carb! [emoji3]
Am gudi kwakweli,naona siku hizi tunapishana tuAiiii... Hawa yu tudeyi, carb! [emoji3]
Hahahah njema kbs, habari ya weye.We mbibi unashida wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari yako lakini
Ndio
Salama tu,karibuHahahah njema kbs, habari ya weye.
Kama wewe mchina mweusi
Asante, acha nitoe stress maana nimevurugwa hatariSalama tu,karibu
Pole sana mkuu ndio hali halisi ya nchi za wenzetu naturally deserters inawafuata wao tuKuna kimbunga huku kinaitwa Irma. Ni kimbunga (hurricane) kikali zaidi kuwahi kutokea katika baari ya Atlantic na inavyoonekana kitapita hapa nilipo. Ni heka heka watu wananunua maji na vyakula vya makopo. Tayari petroli imeanza kuadimika. Mimi nadhani nitasepa na kukikimbia. Namtafuta andaeitini nikimbilie kwake lakini simpati
Ati, Koromije na hurricane wapi na wapi?
Lother
Dooh!sijui niendelee kukuvuruga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante, acha nitoe stress maana nimevurugwa hatari
Hahahahha ole wako, leo ntakupasua kichwa.Dooh!sijui niendelee kukuvuruga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole bhana samehe
German captain 1990 world cup ITALY