Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]I miss you too
Hata hapa Kijijini. Uzuri ulioje huuKila kona Watu kibao
CANTSTOPWONSTOP
Nipo shemeji. Mashtaka gani hayo? Nani amekukorofisha?Shemeji nakutafuta nina mashtaka juu yako
jifiche mkuu,,bado tunakuhitajiKuna kimbunga huku kinaitwa Irma. Ni kimbunga (hurricane) kikali zaidi kuwahi kutokea katika baari ya Atlantic na inavyoonekana kitapita hapa nilipo. Ni heka heka watu wananunua maji na vyakula vya makopo. Mimi nadhani nitasepa na kukikimbia. Koromije na Hurricane wapi na wapi?
Pure love