carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Shemeji nakutafuta nina mashtaka juu yakoYaani kamekuja na spidi ya mwanga. Kahubiri si kahubiri, kasingo faza si kasingo faza ali mradi vurugu tupu. Yaani watu wamevurugana wewe mpaka basi.
Na kwa vile ni Kapare basi hata hawa ng'ombe wenye viuno vyembamba na vichwa vikubwa kama siafu itabidi tuwachukue tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna. Ni shida sana !!!