Umemaliza mtihani?Mabwaku hayaaaaaa
Umemaliza mtihani?Mabwaku hayaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me sina asili ya kule bhanaCarba una asili kule,na kama ni mmoja wa akina Bob ni tatizo. Punguza kesi,utakonda to infinity (yaani utakuwa hai lakini hauonekani na mtu)
Ha wa yuu mamaangu[emoji112] [emoji112] [emoji112]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi hata mlonge utakuwa umesajiliwaEeee... Aaaaa... Kwakuwa...kul....bunge...watumiaji wazuri wa hii.... imesajiliwa kwa vyovyote vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mc.......wa bob hujambo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umemaliza mtihani?
Andaeitini yaonekana una uzoefu na haya mambo. Ulijifunzia wapi na lini?Hahaaa, yaani hapo hata usiulize umeshindaje laazizi. Piga kimya halafu jifanye una headache ya kufa mtu! [emoji3][emoji3]
Hee hee heeUniq na Bob, naomba mtutake radhi Wasukuma wotee....!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yaani kamekuja na spidi ya mwanga. Kahubiri si kahubiri, kasingo faza si kasingo faza ali mradi vurugu tupu. Yaani watu wamevurugana wewe mpaka basi.
Na kwa vile ni Kapare basi hata hawa ng'ombe wenye viuno vyembamba na vichwa vikubwa kama siafu itabidi tuwachukue tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna. Ni shida sana !!!
Uke wenza
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Safi kabisa, kuwa na msimamo... Hizi pipo mbili ni tatizo