Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

9177954a64dd96986c1b958774f0a85e.jpg
 
Yaani kamekuja na spidi ya mwanga. Kahubiri si kahubiri, kasingo faza si kasingo faza ali mradi vurugu tupu. Yaani watu wamevurugana wewe mpaka basi.

Na kwa vile ni Kapare basi hata hawa ng'ombe wenye viuno vyembamba na vichwa vikubwa kama siafu itabidi tuwachukue tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna. Ni shida sana !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hao ng'ombe ni bora kuliko kuku wa mzee wa pwani.
Habari yako brother
 
Back
Top Bottom