GoodMchina unajua historia yake
Wacha nikupe kidogo
Baba yake alikataa mimba yake
Shangazi zake wakishikiriana na Wifi yao yaani mama yake Ince wakalea mimba kwa shida na dhiki all on all jamaa akakua na kipaji cha mpira hatari
Baba anakuja hoo Mimi ndio baba yako weeeeeee
Madada zake na mama yake walimfurusha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniNdio maana uko msumbufu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]hii familia nishaikana mimi
Iundwe kamati ya usuluhishiHahahaha analo mwaka huu maana sio kazi rahisi kusuluhisha hawa watu wawili.
Sikuwahi kuisikia hii mkuuMchina unajua historia yake
Wacha nikupe kidogo
Baba yake alikataa mimba yake
Shangazi zake wakishikiriana na Wifi yao yaani mama yake Ince wakalea mimba kwa shida na dhiki all on all jamaa akakua na kipaji cha mpira hatari
Baba anakuja hoo Mimi ndio baba yako weeeeeee
Madada zake na mama yake walimfurusha
Shemeji[emoji7] [emoji7] byutifuli
KabisaMungu awalinde dhidi ya hiko kimbunga kwakwel ila kama yawezekana kwenda kukaa mbali na eneo hilo kwa kipindi hiki ingekuwa vizuri sana