Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bado kama wiki tatu hivi. Lazima nimalize kilichonileta kwa sababu sitaki kurudi tena. Sipapendi! Ugali wa shida. Mlenda hakuna. Kitu pekee ni misambwanda. Sasa mtu kweli utaishi kwa misambwanda pekee? Koromije home. Tanzania the beautiful....
Mungu awalinde dhidi ya hiko kimbunga kwakwel ila kama yawezekana kwenda kukaa mbali na eneo hilo kwa kipindi hiki ingekuwa vizuri sana
 
Mungu awalinde dhidi ya hiko kimbunga kwakwel ila kama yawezekana kwenda kukaa mbali na eneo hilo kwa kipindi hiki ingekuwa vizuri sana
Kweli shemeji. Kukimbia ndiyo dawa pekee. Tuko na jamaa hapa tutaendesha masaa kama 7 hivi kuhamia sehemu nyingine. Sema tu petroli nayo imeanza kuwa ya shida na highways zimeanza ku-jam. Ni shida !!!
 
Back
Top Bottom