Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3788.JPG
Hahahahaha nimeshasahau mambo ya mbio cocochanel ndiye alikuwa anapenda sana
 
Mungu awalinde dhidi ya hiko kimbunga kwakwel ila kama yawezekana kwenda kukaa mbali na eneo hilo kwa kipindi hiki ingekuwa vizuri sana
Huyo mkoromije ni mbishi hatari. Hachelewi kusema alilipia apartment mpaka December na anataka mpaka kashilingi ka mwisho kaishe ngwaaa!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom