Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
T614
Mkuu pole sana, Mwenyezi Mungu apitishe yake kwa wepesi, aepushe madhara dhidi yenuKuna kimbunga huku kinaitwa Irma. Ni kimbunga (hurricane) kikali zaidi kuwahi kutokea katika baari ya Atlantic na inavyoonekana kitapita hapa nilipo. Ni heka heka watu wananunua maji na vyakula vya makopo. Tayari petroli imeanza kuadimika. Mimi nadhani nitasepa na kukikimbia. Namtafuta andaeitini nikimbilie kwake lakini simpati
Ati, Koromije na hurricane wapi na wapi?
Mkuu Ghazwat habari yakoGazeti hili huchapishwa na wanalikes Limited
NDIZI+NANASI+MAZIWANaomba orodha ya matunda pendekezwa kwa tiba hii..
Wapi alipo sema ameondoka? Tuchange nauli aende jakitoo akatubembelezee (weupe wake na kamsambwaz ka haja mkoro... atakubali haraka) ili ahame haraka[emoji23][emoji23]jamani jamani
Amesema ameondoka yuko safarini kwenda sehemu nyingine lol!
Ila umejua kunichekesha
Kweli shemeji. Kukimbia ndiyo dawa pekee. Tuko na jamaa hapa tutaendesha masaa kama 7 hivi kuhamia sehemu nyingine. Sema tu petroli nayo imeanza kuwa ya shida na highways zimeanza ku-jam. Ni shida !!!
KAROTI+EPO+PEASI+EMBENaomba orodha ya matunda pendekezwa kwa tiba hii..
Good evening my loveView attachment 582493
Good morning my babes
Majukumu MkuuHivi mzee wa Liver jana ulikuwa wapi
Yap hata Leo navizia tu sasa ndio nimepata mudaJana ulibanwa nini