mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaWapare bwana. Sasa kwa vile Uniq kampata Msukuma ndo imekuwa mabinti wa Kisukuma wanapenda Wapare? Come on man !!!
HahahahahaWapare bwana. Sasa kwa vile Uniq kampata Msukuma ndo imekuwa mabinti wa Kisukuma wanapenda Wapare? Come on man !!!
Jana ulibanwa niniNilimiss sana haya majadiliano
HitlerView attachment 582236
Good person
Hahahhahahh uliza GoogleTranslation please[emoji23]
HahahahahaHii tabia ya mabinti wa Kisukuma kupapatikia wanaume wa Kipare imeanza lini? Baby S na mumewe angalau bado wanasoma, sasa na wewe tena? Au unataka tu kumkomoa Carba?
Mimi napinga kabisa wazo hili la Wapare. Ni wabahili mno na hatutapata ng'ombe wo wote wa maana. Sana sana tung'ombe tuwili tukondefu basi. Afadhali hata muende kwa kijana wa pwani Moudgulf alituahidi kuku hata mia tukitaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena Kwa sautihahahaha
imebidi nicheke kwanza
Namuona Mkuu Wenger hapo
Hahahanilijua utakua unasifia makande na kiburu sasa unasifia vanila😉😉😎
Habari ya asubuhi brotherMorning all
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna jamaa
Kaleta kuja
Anyway nimemfakamia kwenye ignored list
Hahahaha