Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WANAFUNZI 917,030 KUFANYA MITIHANI YA KUHITIMU DARASA LA SABA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), George Simbachawene akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu serikali kutumia sh29.5 bilioni kwa ajili ya kugharamia mitihani ya darasa la saba inayoanza kesho nchni. Jumla ya wanafunzi 917,030 wanatarajiwa kufanya mitihani ya kuhitumu darasa la saba nchini. Picha na Edwin Mjwahuzi
Tunawatakia mitihani Mema
 
maziwa nayo husifika kwa kung’arisha ngozi na manjano husifika katika kusafisha ngozi, changanya vikijo viwili vya raw milk pamoja na kiasi cha manjano kisha paka katika sehemu iliyo athirika na weusi, una weza kutumia cotton au sponge kupakia kama ni chini ya makwapa ukisha paka nyanyua mikono juu mpaka ikauke kisha futa na maji ya vugu vugu
 
Ni vizuri kutumia vitu vya asili ili kuto kupata matokeo mabaya katika utumiaji wa vipodozi, asali iki changanywa na baking soda ukapaka sehemu yoyote yenye weusi utapata matokeo mazuri ya kusafishika, changanya asali na baking soda kisha paka sehemu iliyo athirika na ukae nayo kwa dakika 15 kisha ondoa kwa maji masafi.
 
Maumivu yanayoanzia katika viungo vinavyotengeneza uti wa mgongo kutokana na uvimbe joto wa misuli, magegedu na pingili za mifupa, yanaweza kusambaa hadi mapajani na wakati mwingine yanaweza kwenda hadi kwenye goti.
 
Maumivu yanayotokana na mgandamizo wa mizizi ya neva kutoka katika uti wa mgongo, husababisha maumivu ya miguu zaidi kuliko maumivu ya mgongo. Maumivu hayo husambaa kwenye nyonga na mapajani hasa upande wa mbele. Maumivu yanaweza kujitokeza baada ya kutembea na mara nyingi huambatana na ganzi.
 
Kama maumivu ya mgongo yanatokana na kuachana kwa pingili za uti wa mgongo zilizokwenda upande, mara nyingi yanaongezeka pale mgonjwa anapokohoa, kupiga chafya au kuongeza msukumo wa tumbo wakati wa kujisaidia haja kubwa. Mtu mwenye tatizo hili pia anaweza kushindwa kupata haja kubwa au kukojoa kutokana na mishipa ya fahamu inayopeleka habari katika utumbo au kibofu cha mkojo, kushindwa kufanya kazi sawasawa.
 
Back
Top Bottom