Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7. Ugonjwa wa kisukari.
Kuna watu maelfu ambao tayari wamegundulika na kisukari aina ya pili tayari tunawaita ni DIABETIC lakini pia kuna wale ambao bado wapo ktk safari ya kuangukia ktk kundi hilo endapo wasipo jihadhari na kulinda afya [PRE DIABETIC]
Tofauti kati ya Diabetic na Pre diabetic ni kwamba mtu ambaye ni diabetic sukari huwa ipo juu na insulin pia huwa ipo juu ambapo pre diabetes wao sukari huwa ipo kawaida kabisa lakini ukipima insulin ipo juu, na wana dalili zingine tunaziita kwa pamoja metabolic syndromes km hizo ecanthosis nigricans[weusi sugu sehemu nyingi] belly fats[ Nyama uzembe] ndio maana ni vigumu sana kumbaini mtu mwenye pre diabetes kwa kutumia Glucometer[kipimo cha sukari] hadi pale utakapo tumia Insulin Sensitivity test [kipimo cha kuangalia wingi wa insulin]
 
Kiwango kingi cha insulin kwenye damu kwa muda mrefu kinachotolewa na kongosho kuja kusawazisha kiwango cha sukari kinasababisha seli za melanocytes kufanya kazi kupita kiwango stahiki na hatimaye kusababisha hyperpigmentation [Weusi].
 
IMG_3638.JPG
 
Hapana hao ni ndugu jamani khaa
Ila wanafunzi wambea nyinyi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ZIFUATAZO NI NJIA AMBAZO UNAWEZA KUTUMIA KUONDOA TATIZO

1. Pata ushauri kwa mtaalamu wa afya.
Hii itakusaidia kubaini nini hasa chanzo chake na ataanza kukutibu kulingana na tatizo lako baada ya kujua hasa kisababishi ni nini mpendwa.
 
2. Badili mwenendo Maisha yako katika lishe na mazoezi.
Hakikisha lishe yako unapunguza wanga nzito hasa nafaka, wali nk pia punguza vyakula vyenye sukari na vionjo vya kemikali km soda.
Pia punguza kula gluten nyingi km vyakula vingi vya ngano iliyokobolewa.

Jitahidi kula sana matunda yenye vitamin C kwa wingi, A kwa wingi E kwa wingi, mboga za majani nk.
 
Back
Top Bottom