carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Pole na mitihani[emoji23][emoji23][emoji23]ooopppss!Nipo poa japo nilikuwa busy siku nzima. Ndio nimeandaliwa maji yaliyoungwa na Msukuma wangu niende kuoga.
Sorry pole na majukumu uniq
Pole na mitihani[emoji23][emoji23][emoji23]ooopppss!Nipo poa japo nilikuwa busy siku nzima. Ndio nimeandaliwa maji yaliyoungwa na Msukuma wangu niende kuoga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha
Watu mpaka waliniona kichaa kisa kupiga kelele humu ila hukutokea. [emoji22]Yaani wewe?daah!sawa bhana[emoji17][emoji17][emoji17]
hahahahaNajua Andjul hana lake muache aendelee kuuza mboga mbonga na kushangaa misambwanda sokoni mwanjelwa
Dogo hatutendeani haki kabisaYaani siku hizi unachokifanya,sitaki kuamini kwakweli[emoji22][emoji22]
niko poa kabisa sema mauchovu tu nataka ni activate na gahwaKwema Bob aje