hahahahahaNipo poa japo nilikuwa busy siku nzima. Ndio nimeandaliwa maji yaliyoungwa na Msukuma wangu niende kuoga.
Lini?Watu mpaka waliniona kichaa kisa kupiga kelele humu ila hukutokea. [emoji22]
si unajua watoto wanaofuatanaFamilia imekushinda mzee wa liver
Umeona kama huntendei haki eeh?Dogo hatutendeani haki kabisa
Pole kwa uchovu...niko poa kabisa sema mauchovu tu nataka ni activate na gahwa
Umeona sasa mpaka umeniblock. [emoji22] [emoji22] [emoji22]Lini?
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]hii familia nishaikana mimi
Viv yuko poa kwa kweli sema sometimes anazingua sana,utoto lakiniPole kwa uchovu...
Viv hajambo
YapObasanjo na Buhari walikuwa rais kwa kupindua nchi na wakawa rais kwa kura