carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mida yetu ile sijaonekanaNakuja kukutafuta kila siku unanipita kimya kimya kama ho chi minh nikiwa na mdai
Safi mkuu
Ndo hivo tunaenda sawa lakini hadi akueNdio raha ya utoto hiyo
Fresh sana hunter.Niajeeeeee
Najua unanitafuta wakati umepasua ndoa ya NsamakaPole na mitihani[emoji23][emoji23][emoji23]ooopppss!
Sorry pole na majukumu uniq
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani
Ila kuwa kilaza raha ujue?husomi yani we kwa pepa unaingia na muongozo wa mh spika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]