Ilibidi niende hata kule kutuliza popo wangu wa humu kichwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mida yetu ile sijaonekana
Halafu siwezi kukupita wewe
Hujaona nilikuja hadi kule kukutafuta?
Lini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani
Ila kuwa kilaza raha ujue?husomi yani we kwa pepa unaingia na muongozo wa mh spika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani
Ila kuwa kilaza raha ujue?husomi yani we kwa pepa unaingia na muongozo wa mh spika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah!Ndo hivo tunaenda sawa lakini hadi akue
naona ofa ya kumtibu umeitolea nje
Kweli mtu akikuita mtoto itabidi uandamame,mara ukute kachukua mafuta kajipakaza mwili mzima,mara kavunja vikombe,mara aamue kususa tu,full purukushaniNdio raha ya utoto hiyo