Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-06-20-29-40.png
 
Fresh sana hunter.
Japo ulipopotea ndio huyo mtoto akaungua na moto maana umerudi katoto ka avatar kana kovu.
Ahaha usiwaze ni mabadiliko tu..haijaungua kuna wadukuzi wameiba hii avatar na kutafutia kiki kwa pikipiki...sasa mim ndio nkaibadili rangi tutofautiane

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Andjul, mzee wa liver, Shimba na Wengineo tupate muda wa kukumbushana matukio ya zamani hasa kwenye michezo na burudan zinginezo.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mkuu utakuwa umeukumbuka ujana ule wa fungulia mbwa au kuruka ukuta kupitia jeshini. Saa zingine unajilipua na sh.20 unaruka ukuta gori la kaskazini na karandinga lipo pembeni.... Moudgulf anauzoefu sana na hayo mazingira
 
Back
Top Bottom