Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Good personGerman machine
Week hii napumzika na yeye ndo anakuja mida ileThe guy was all over the place looking for ya! [emoji3]
Vipawa vyao vyetuIS RA EL
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah!ndo umri wake huoKweli mtu akikuita mtoto itabidi uandamame,mara ukute kachukua mafuta kajipakaza mwili mzima,mara kavunja vikombe,mara aamue kususa tu,full purukushani
Ahaha usiwaze ni mabadiliko tu..haijaungua kuna wadukuzi wameiba hii avatar na kutafutia kiki kwa pikipiki...sasa mim ndio nkaibadili rangi tutofautianeFresh sana hunter.
Japo ulipopotea ndio huyo mtoto akaungua na moto maana umerudi katoto ka avatar kana kovu.
Mkuu utakuwa umeukumbuka ujana ule wa fungulia mbwa au kuruka ukuta kupitia jeshini. Saa zingine unajilipua na sh.20 unaruka ukuta gori la kaskazini na karandinga lipo pembeni.... Moudgulf anauzoefu sana na hayo mazingiraAndjul, mzee wa liver, Shimba na Wengineo tupate muda wa kukumbushana matukio ya zamani hasa kwenye michezo na burudan zinginezo.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
We pro muongo g9t*Prof Lipumba, Prof Mruma na Prof Muhongo wanawatakia usiku mwema*
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo mzee mwenzangu.