Jambo la kheri
Ndo hivo,ndiyo raha yake bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah!ndo umri wake huo
Nilijua hukuonekana humu kisa unauguza huyo mtoto kuungua kumbe ni mabadiliko tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahaha usiwaze ni mabadiliko tu..haijaungua kuna wadukuzi wameiba hii avatar na kutafutia kiki kwa pikipiki...sasa mim ndio nkaibadili rangi tutofautiane
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Kijichi Mihande kwa ManjiNiko poa moudgulf... nipatie dondoo za maeneo ya Mbagala, Kigamboni, Kongowe napenda sana yale majina.
Ni kweli si umeona mchina aliruka hiyo stage.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah!ndo umri wake huo
Mkuu kwema?Najua Andjul hana lake muache aendelee kuuza mboga mbonga na kushangaa misambwanda sokoni mwanjelwa
Kijichi NigeriaNiko poa moudgulf... nipatie dondoo za maeneo ya Mbagala, Kigamboni, Kongowe napenda sana yale majina.
Unashindwa kusema ukweli lengo ni kuongeza nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Week hii napumzika na yeye ndo anakuja mida ile
Nitakulipa mkuu,Nipo mzee mwenzangu.
Bado naangaika na lile vanga uliloacha najuta kuweka mdhamana maana umekimbia umeniachia balaa
Kijichi BwawaniNiko poa moudgulf... nipatie dondoo za maeneo ya Mbagala, Kigamboni, Kongowe napenda sana yale majina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilipunguza nini kwaniUnashindwa kusema ukweli lengo ni kuongeza nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]