Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
MAPICHA PICHA YALIOJE HAPA KIJIJINI
CANTSTOPWONSTOP
CANTSTOPWONSTOP
71LXXI
Kichwa kichafu mambo niaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ile nafungua JF nakutana na hii kitu![]()
Nimecheka balaaa.. Cjui katuma nani hiyo.? [emoji2] [emoji2]
72LXXII
Hata mie nimemuona yuko hivyo mkuu.Huyo mzee anaroho ya korosho mzee mwenzangu
Akikua hataachaViv yuko poa kwa kweli sema sometimes anazingua sana,utoto lakini
74LXXIV
Si wewe kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]masna akili zako wazijua mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna watu wamevurugwa
Na na na zungumza tu mzee wa liver ametoka kidogoNimesikia mkuu,
Lakini ISIS ni mtu poa sana, harafu ana roho safi na nyeupe,
Pia ni mkarimu sana,
Hana maringo, mcheshi, mpenda watu, ana ushirikiano wa jamii zote,
Hana makuu, muungwana, tabasamu analo muda wote na ..na...naa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
74LXXIV
75LXXV
Teh teh tehIle nafungua JF nakutana na hii kitu![]()
Nimecheka balaaa.. Cjui katuma nani hiyo.? [emoji2] [emoji2]
Kwa hiyo unabishana na baba yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani jamani[emoji134][emoji134][emoji134]mbona mimi sifanani nae