Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Sheikh tufanye ikifika digit zote ziwe zero mwanzo iwe 1. Nitakulipa
Sheikh tufanye ikifika digit zote ziwe zero mwanzo iwe 1. Nitakulipa
Na hana dharau[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimesikia mkuu,
Lakini ISIS ni mtu poa sana, harafu ana roho safi na nyeupe,
Pia ni mkarimu sana,
Hana maringo, mcheshi, mpenda watu, ana ushirikiano wa jamii zote,
Hana makuu, muungwana, tabasamu analo muda wote na ..na...naa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahahhaa dahNitakulipa mkuu,
Nakushauri achana na wake za watu mkuu!
Rekodi yako imechafuka sana.
Tangu mwaka 1981 unaendelea kukamatwa ugoni mpaka leo.
Mbaya zaidi kila mwaka idadi ya kukamatwa inapanda.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Sijui niliwekewa nini maana sisahau[emoji22] [emoji22] [emoji22][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]twende nikakupe ofa ya fursana ili usahau vizuri
Nilipe kwanza ndo tufute mkuuSheikh tufanye ikifika digit zote ziwe zero mwanzo iwe 1. Nitakulipa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] mtu chakeee buanaHahhahaha wifi una mambo ww.
Kapendelewa wallahNa hana dharau[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahahababe S wapi mkuu ho chi minh yupo huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani we achaMwambie tu ukweli dogo
Kama umepata jimama bonge kama tembo usiku akilala wewe wakesha mana kitandani hamtoshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba majimama yapewe heshima inayostahili please [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie tu ukweli dogo
Kama umepata jimama bonge kama tembo usiku akilala wewe wakesha mana kitandani hamtoshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ISIS na ho chi minh watakwenda safari kuangalia na kufungua fursa kwa vijana kusini mwa Tanzania.Niaje mkuu