carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
kama kupeleka umbea tu am in[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fanya kweli, mbona sio kazi... Mkuu mimi nipo, hata kichwa naamini atashiriki kufitinisha kwa wakusoma, na carba nitamuomba atusaidie...
Nishajiandaa tangu jumatatu kwa ajili ya safari mkuu.ISIS na ho chi minh watakwenda safari kuangalia na kufungua fursa kwa vijana kusini mwa Tanzania.
Taarifa hii amenipa ho chi minh sijajua agenda zaidi
Dogo vipi tena?[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo nakuona
Wanakuonea eeh!jamani[emoji134][emoji134]Aaaaaa!!!! Mimi?
Imani yangu kwako inaporomoka mkuuMkuu mara kwa mara nimekuwa nikiongea na shemeji yangu babe S, kwa kweli haishi kukutaja. Sema tu jamaa yule mjasiria mali wa kuku yule hafai...
Sijajua ila kwa kuwa aliyeniambia anataka niyasahau tena ananitesa kweli[emoji23] [emoji22]Eeeh ulipewa nini sasa
Leo mapema eeh!Usiku mwemah msela wangu!
Acha nilale sasa maana nilikuwa silali kisa ka dogo fulani nilikuwa nakatafuta. [emoji23] [emoji23]Nijibu basi kk[emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani kama ni lengo lake kwakwel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijajua ila kwa kuwa aliyeniambia anataka niyasahau tena ananitesa kweli[emoji23] [emoji22]