Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

samahani sana ISIS kama nilikutoa kwenye pozi nimefundishwa upendo kwetu
sitaki kuwa kwenye ignore list yako
Umeonyesha uungwana wa hali juu sana.Tangu mapema leo umekuwa ukipigania amani ya moyo wako.
Mungu akujenge katika misingi hiyo.
Naamini umeutua mzigo wako na akija atakuelewa.
Mama ISIS pokea msamaha wa ndugu yako huyu, alianza kupitia kwa Numbisa na baadae kwa mzee wa liver.
 
Kwani wivu hauruhusiwi[emoji23][emoji23]
Umenikumbusha ule uzi watu walimwaga povu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtoa mada ilibidi akimbie
Wivu hauruhusiwi kwa vitu visivyopendwa na wengi; hasa ukizingatia kwamba (in this case), tembo ni wazuri kuwaangalia tu tena wakiwa katika makazi yao mbugani huko.

Ule uzi wapenda majimama tulipigana kufa na kupona mpaka jamaa akasepa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…