Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20170905-WA0017.jpg
 
Huku bwana Gary Davis, mwana usalama mtandao kutokea kampuni ya Intel akifafanua ya kua sababu kubwa inayopelekea wahalifu kuendelea kufanikiwa katika zoezi la kuibia watu pesa zao mitandaoni “Fraud” ni kutokana na upatikanai rahisi na wa kiholela wa viwezeshi vinavyoweza kusababisha komputa ya mtu kuwa kama “Wi-Fi hotspot”.
 
Niki changia hili, Nilieleza kwenye mikutano na mikusanyiko mingine kumekua na taratibu ya kupatiwa “Free Wi-Fi” ambapo tumekua tukizitumia bila hata kujiuliza maswali yoyote kwani tayari imesha kua kawaida hasa pale utakapo kuta imepewa jina
 
Mara zote wahalifu mtandao wanapo lifanya hili wanadhamiria kufanya kitu ambapo kitaalam tuna kiita “Man in the Middle (MitM) Attack” inayotoa fursa kwa mhalifu mtandao kunakili kila kinachosafiri kwenye mtandao kwa yule atakae tumia huduma yao hiyo (Wi-Fi)
 
Ikumbukwe kwa huduma zile ambazo zinatumia teknolojia ya “HTTPS” ambapo inaaminika huwa ziko salama nazo si salama sana kwani si kila kinacho safari kupitia teknolojia hiyo hakiwezi kuonekana/kusomeka na wahalifu mtandao pale unapo kua umeingia kwenye mtego wao kwa kutumia huduma yao (Wi-Fi)
 
Back
Top Bottom