ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kuhusu mtaji...mtaajiii hata wewe umechangia kunirudisha nilikotoka mkuu,Zile tofauti tuziache kwenye gahawa tutayamaliza.
Biashara ya gahawa mbona umekula mtaji mzee
Sasa hivi nashindwa hata kujaza birika moja mkuu.
Fanya unilipe mkuu jaribu kuwa na huruma make mpaka sasa nakudai sh 73,460 zote umekopa kahawa kwangu tu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app