Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
S825
Historia ni muhimu sanaUnamaanisha zilipendwa aka historia ama?
andjul na team yake wapenda mafuso wanapata shida huko.Mwambie tu ukweli dogo
Kama umepata jimama bonge kama tembo usiku akilala wewe wakesha mana kitandani hamtoshi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwe waja hata asubuhi bhana we kila siku mida ile tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwan umekuwa sungusungu ama bundi?Nilianza kuumwa mwenzio huku
Kiungo kidogo kama njiti ya kibiti ila kinachoma msitu mkubwa
Hahahha namuona ana like kimya kimyaKichwa Kichafu unachonifanyia si kizuri chalii angu
carbamazepine ukuje ujibu hapaKULIKONI Mkuu hadi uwekewe kufuli!?
Maringo binti maringoHahahahaha
Nasikiliza binti maringo hapa
Msondo Ngoma acha tu
Bizente lizararu akiwa na Lilian Thuram kushoto na kulia France 1998Sure lizarazu
DJ sepetu