Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Kweli ingekuwa China ingekuwa hivyo.....ila huku naona drama tuNamna ipo wanatakiwa kuwa gerezani ingekuwa kule kwetu China kifo kinawahusu
Kweli ingekuwa China ingekuwa hivyo.....ila huku naona drama tuNamna ipo wanatakiwa kuwa gerezani ingekuwa kule kwetu China kifo kinawahusu
Zile tofauti tuziache kwenye gahawa tutayamaliza.Kila ukimtaja babe s natabasamu,
Hapo ndo naona umhimu wako Kichwa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nilianza kuumwa mwenzio hukuRudi hapa
Halafu nilikumiss ujue
Hakuna jinsi nakupenda sana my kipenzi changu sitaki mtu yoyote akusumbueThanks babes
Mimi nime waweka kwenye ignored list
I don't know what is going on back there!
I really appreciate my love
Poa poa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]kwani uongo?Dogo dogo nakuona ujue
Mchina kwenye ubora wako
Mkuu juzi Kati hapo,nilienda Mbagala kuu maji matitu kwa shemeji yako usiku,nimeanza kupotea mtoni kijichi, hadi saa sita nilikuwa bado sijaipata location.Kijichi Mihande kwa Manji
HahahahahaAndjul, mzee wa liver, Shimba na Wengineo tupate muda wa kukumbushana matukio ya zamani hasa kwenye michezo na burudan zinginezo.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app