Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nitakulipa mkuu,
Nakushauri achana na wake za watu mkuu!
Rekodi yako imechafuka sana.

Tangu mwaka 1981 unaendelea kukamatwa ugoni mpaka leo.
Mbaya zaidi kila mwaka idadi ya kukamatwa inapanda.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mzee mwenzangu rafiki yangu pamoja na changamoto zetu acha tuyamalize.


Sasa kile kiwanja ulichotaka uanze kutengenezea gongo nitakuachia kabisa pamoja na kibari utatafuta ila siri tuziache kule.
 
Back
Top Bottom