Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
S748
Kabusa MkuuMkuu tusimchoshe Mungu, alitupa akili tangu enzi ya Nuhu, Lutu,n.k.za kujiokoa, maadam wameshaambiwa kuna hatari miezi mitatu ijayo,waondoke mapema eneo hilo.
Salama mkuu, kwema?
HahahaBaba salma kikwete
CANTSTOPWONSTOP
Kimenuka nae hahhaa dah hatari sana. Alisaini bila kusoma yalahProf Mruma
Yaani nimecheka sana ni maajabu hayaKimenuka nae hahhaa dah hatari sana. Alisaini bila kusoma yalah
Wakati mzee yupo gerezani jamaa alikuwa ndio mapenzi Wa Winnie mzee alipotoka aligundua akamsahe lakini walishindwa Ku achana na huyo dogo mzee akaamua kumpka tarakaJamani