mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Abed ayuw pele
HahahaKukaa porini raha ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sasa niko mjini nashangaa maghorofa
Mkuyati ni nini?Mkuyati tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio maana siupendi uzee, kesho naenda kununua jinsi iliyo chanika magotini
Kama ungekuwa uko kwenye hiyo safari ningebariki lakini hapo hakuna safari tenaISIS na ho chi minh watakwenda safari kuangalia na kufungua fursa kwa vijana kusini mwa Tanzania.
Taarifa hii amenipa ho chi minh sijajua agenda zaidi
Mambo mazuri hayoooo