Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama ungekuwa uko kwenye hiyo safari ningebariki lakini hapo hakuna safari tena
Mkuu kuwa na imani na mimi,
Nakuhakikishia usalama wa kutosha,
Usiogope mie kuvaa jeans lililochanika magotini ni nje tu ndani mwili mwili hauna nguvu,
Hili kapelo ndani kuna piko zimejaa!
Lazima safari iwepo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahaa... Kidumu Chawamita! Bado nasubiri upepo wa Kusi unisukumizie hapo! [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…