Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_1904.jpg
 
Mkuyati ni nini?
Mkuyati ni unga ama kimiminika chenye radha ama hakina radha lakini husababisha miguu kuimarika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Changanya mkuyati, milonge, vumbi la Congo, Red Bull, jibapa na kahawa, then jitose kwenye mashindano ya mbio ndefu. Ni lazima ushinde yaani hata mabingwa wa riadha Wakenya na Waethiopia utawatimulia vumbi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huo mchanganyiko nadhani hata kuinuka huinuki.
 
Back
Top Bottom