ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mkuu unataka umpe likes kwa kijinsia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ahsante sana Mkuu wa Like.
Hivi wewe ni 'Ke au Me'?
ama kweli...Jinsia fulani inataka kujeruhi pochi za jinsia nyingine.
Hahaha, mkuu hutaki tutoe likes za Kijinsia?Jinsia fulani inataka kujeruhi pochi za jinsia nyingine.
Naam, apate haki yake ipasavyo.Mkuu unataka umpe likes kwa kijinsia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
likes ''haki sawa''Hahaha, mkuu hutaki tutoe likes za Kijinsia?
Yapo hukoMakanikia
Huo uzi niliuona nikasoma page kama 2 hivi nikaachana nao naona umeleta balaa kweliJana kulikuwa na uzi.wa mambo yao ya PM
Bint ubaguzi unauleta
una kasi kwa kweliHuo uzi niliuona nikasoma page kama 2 hivi nikaachana nao naona umeleta balaa kweli