Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,739
- 5,979
"Sababu huo mchezo ni mtamu kila mtu anaupenda"
"Sababu huo mchezo ni mtamu kila mtu anaupenda"
Hahaha, Mkuu jibu swali kumradhi.
Cheeta kijana
Ongezea na hiyoLike zinamwaika kama maji ya mvua
ISIS hua anakesha siku zote humu
Mkuu nina kitu changu kina itwa Babe S usije ukakigusaAhsante sana Mkuu wa Like.
Hivi wewe ni 'Ke au Me'?
Jana kulikuwa na uzi.wa mambo yao ya PMhe! wamekosa nn
mbele tu...
Uzi wetu unaenda kwa spidi Kali kama bullet.keep up guys
Watu wana roho mbaya wanataka kujua ke au me ili wafanye nini sijui.Ahsante sana Mkuu wa Like.
Hivi wewe ni 'Ke au Me'?
Ingieni muone raha yake
dah! sikusomaJana kulikuwa na uzi.wa mambo yao ya PM
Ahsanteni kwa Likes zenu. Hizo zimenitosha, endeleeni na harakati.
Mimi nang'atuka.
Nakuona nakuona unakula tu likes na mm naombaSafi upo njema
Kweli hili jambo ilibidi wafikirie kwa kina sana kabla ya kukurupuka na kuongea maneno yao,samia nilimuelewa ila huyu jamaa daah!sasa mtu kabakwa then unamwambia asirudi shule tena?
Karibu tena
Ndio baadhi ya maneno aliyoandika sio aliyo yasema Rais