Ndio baadhi ya maneno aliyoandika sio aliyo yasema RaisKwamb jamaa kamlisha maneno mzee wa magogoni?
ISIS hua anakesha siku zote humuISIS sidhani kama mualiko huu utamuacha salama
mbele tu...Uzi mkali huu naona wapenzi wa likes wanaongezeka kula kukicha, karibuni
Karibu tenaNimerudi....nilipamiss ikabidi nirudi.......
Kweli hili jambo ilibidi wafikirie kwa kina sana kabla ya kukurupuka na kuongea maneno yao,samia nilimuelewa ila huyu jamaa daah!sasa mtu kabakwa then unamwambia asirudi shule tena?Lazima tufikiri dana juu ya hili, watoto wengi eidha wanarubuniwa au kubakwa, je hii inatosha kuwazuia kusoma?
Karibu tenaAhsanteni kwa Likes zenu. Hizo zimenitosha, endeleeni na harakati.
Mimi nang'atuka.
nisalimie mkuu.. hapa tunapitisha saumu zetu haraka na hizi likesAhsanteni kwa Likes zenu. Hizo zimenitosha, endeleeni na harakati.
Mimi nang'atuka.
Imani yako imekuponya..Pokea likeNaombeni like,wapendwa mbarikiwe sana.
Nadhani alisema ikitokea kama mtu amebakwa kuna taratibu zakeKweli hili jambo ilibidi wafikirie kwa kina sana kabla ya kukurupuka na kuongea maneno yao,samia nilimuelewa ila huyu jamaa daah!sasa mtu kabakwa then unamwambia asirudi shule tena?
Bila Shaka Mkuu, Swaum Maqbul na likes za kutosha.nisalimie mkuu.. hapa tunapitisha saumu zetu haraka na hizi likes
Piga kazi ila ujue hata kama hupo tutaku like tuAhsanteni kwa Likes zenu. Hizo zimenitosha, endeleeni na harakati.
Mimi nang'atuka.
Bwana mkubwa amefail kwa hiliLazima tufikiri dana juu ya hili, watoto wengi eidha wanarubuniwa au kubakwa, je hii inatosha kuwazuia kusoma?